ELIMU KISWAHILI KITABU CHA KWANZA ni kitabu kipya cha kiwango cha Sekondari kulingana na mtaala mpya wa Uganda. Mtaala unajumuisha yaliyomo katika silabisi mpya ya sekondari ya Uganda.
Kiswahili kitabu cha wanafunzi cha kwanza kina maandishi rahisi, wazi na rahisi kusoma. Yaliyomo yanaungwa mkono na vielelezo wazi na ujumbe wazi. Kitabu kina shughuli nyingi na mazoezi kwa watu binafsi na kazi ya kikundi.
Kiwango cha lugha na mifano iliyotumika inafaa kwa wanafunzi wa vijijini na mijini. Masuala ya usawa wa kijinsia na watu wenye ulemavu yameshughlikiwa sana.
Rasilimali ya mwongozo wa walimu unapatikana kwa kila ngazi ya kozi. Kila kitabu cha mwongozo wa walimu hutoa /hupatia mwongozo wa kina na wa kitendo kwa msitizo wa mbinu zinazoshirikisha wanafunzi katika njia ya kufundisha Kiswahili iliyochangiwa katika shule za upili, Kozi Imeandikwa na walimu wenye uzoefu wa kiswahili na wenye ushauri wa kiufundi kutoka kwa wataalamu wa masomo.
APPROVED BY MINISTRY OF EDUCATION
Author | Jepkoech Rebecca na Joseph Tusingwire |
ISBN | 9789970411542 |
Стоимость доставки |
|
Перевозки | 1-2 дня |
Product Location | GODS MERCY BOOKSHOP, New taxipark, Freeman building, Shop 674, Central Region, Uganda |
Отзывов не найдено!
Нет комментариев к этому продукту. Прокомментируйте первым!