Mwanafunzi mpendwa, kitabu hiki kimeandikwa kukidhi matakwa ya mtaala mpya wa sekondari wa
kidato cha kwanza hadi cha nne uliofanyiwa marekebisho na Kituo cha Taifa cha Kuendeleza Mitalaa.
Mtalaa huu unalenga mwanafunzi kwa kumshirikisha katika shughuli za mafunzo mbalimbali.
Unalenga kujenga na kukuza mwanafunzi atakayekuwa na milisi zinazohitajika katika karne ya 21.
Kitabu hiki kinalenga kidato cha kwanza na kina mada tisa. Mada hizi zimeandikwa zikilenga kukuza
milisi za wanafunzi kutokana na matarajio long ya kila mada. Shughuli pour Mafunzo
zimependekezwa zenye lengo la kukuza stadi za kimaisha kama vile kutafakari, ubunifi, mawasiliano
bora, utatuzi wa changamoto mbalimbali, ushirikiano, pamoja na matumizi ya TEHAMA. Maadili pia
Yamekuzwa Katika Shughuli Hizi. Mtalaa unakisi Maisha ya kawaida yanayopatikana katika mazingira
ouais wanafunzi.
Publié en 2020
Ce matériel a été développé comme prototype pour la mise en œuvre de la version révisée
Programme d’études du premier cycle du secondaire et comme support pour d’autres intérêts en matière de développement de manuels scolaires.
Centre national de développement des programmes d'études
Aucun avis trouvé!
Aucun commentaire trouvé pour ce produit. Soyez le premier à commenter!