SENIOR ONE kiswahili language NEW CURRICULUM BY NCDC

Bewertungen (0)
0 6 13.1k
Frei
G172E2AVA8
Pdf
GMBookshop
Aktie: 

Mwanafunzi mpendwa, kitabu hiki kimeandikwa kukidhi matakwa ya mtaala mpya wa sekondari wa

kidato cha kwanza hadi cha nne uliofanyiwa marekebisho na Kituo cha Taifa cha Kuendeleza Mitalaa.

Mtalaa huu unalenga mwanafunzi kwa kumshirikisha katika shughuli za mafunzo mbalimbali.

Unalega kujenga na kukuza mwanafunzi atakayekuwa na milisi zinazohitajika katika katika ya 21.

Kitabu hiki kinalenga kidato cha kwanza na kina mada tisa. Mada hizi zimeandikwa zikilenga kukuza

Milisi za wanafunzi kutokana na matarajio lengwa ya kila mada. Shughuli za Mafunzo

zimependekezwa zenye lengo la kukuza stadi za kimaisha kama vile kutafakari, ubunifi, mawasiliano

Bora, utatuzi wa changamoto mbalimbali, ushirikiano, pamoja na matumizi ya TEHAMA. Maadili pia

yamekuzwa katika shughuli hizi. Mtalaa unakisi Maisha ya kawaida yanayopatikana katika mazingira

Du wanafunzi.

Veröffentlicht 2020

Dieses Material wurde als Prototyp für die Umsetzung der Überarbeitung entwickelt

Lehrplan für die Sekundarstufe I und als Unterstützung für andere Lehrbuchentwicklungsinteressen.

Nationales Zentrum für Lehrplanentwicklung

Keine Bewertungen gefunden!

Für dieses Produkt wurden keine Kommentare gefunden. Sei der erste der kommentiert!

If you love literature books, stories & novel recommendations, join us on YouTube @GMBookshop

If you love literature books, stories & novel recommendations, join us on YouTube @GMBookshop